Different Picture show JKIA on fire

Wazima moto waliweza kufika katika uwanja huo ingawa kulikuwa na malalamiko kuwa walikuja kuchelewa kiasi cha moto kusambaa

 Hata hivyo moto ulizimwa baada ya zaidi ya saa tatu wengi wakisema kuwa ikiwa huduma za zima moto zingefika mapema, moto huo usingesambaa kama ulivyosambaa
 Kutokana na moto huo mkubwa, uwanja ulifungwa na safari za ndege kutoka na kuingia katika uwanja huo kusitishwa
 Nyingi ya ndege zilielekezwa kwenda katika viwanja vya ndege katika nchi jirani mfano Kampala, Dar es Salam, Kigali, mjini Mombasa na katika miji mingine nchini humo
 Watu wengi walikwama kwenye uwanja hiyo kutokana na safari za ndege kuathirika . Hata hivyo chanzo cha moto hakijabainika

Share this article :

Post a Comment

 
Support : | |
Copyright © 2011. JAMII MIXER - All Rights Reserved
Published by S.M