VIDEO Queen wa Bongo Fleva, Mimah Mohammed ‘Baby Candy’ ameibuka na
kueleza namna ambavyo aliugua malaria kali hadi kudaiwa kuwa amerogwa na
shosti wake, Jacqueline Pentzel.
Chanzo makini kililiambia Amani kuwa hivi karibuni nyota huyo alichanganyikiwa kwani majini huwa yanampanda kichwani mara kwa mara huku Jack akidaiwa kuwa ndiyo chanzo cha matatizo hayo.
“Amewehuka kabisa, ukimuona utamuonea huruma na Jack ndiye anayedaiwa kumroga,”

Post a Comment