South Africa: Gays First Traditional Wedding


Tshepo Cameron Modisane (left) and Thoba Calvin Sithole (right), take an oath infront of local leader, it is assumed this is the first gays traditional wedding according to Huffington.
 
Tshepo Cameron Modisane na Thoba Calvin Sithol, wanaume wawili raia wa Afrika Kusini, wameripotiwa kufunga ndoa katika mji wa KwaDukuza katika Jimbo la KwaZulu-Natal, mbele ya wageni 200 katika hafla ambayo iliwajumuisha watu wa mila za makabila ya Wazulu na Watswana.

Wanandoa hao wote wakiwa na umri wa miaka 27 watafunga ndoa nyingine ya kawaida…
Share this article :

Post a Comment

 
Support : | |
Copyright © 2011. JAMII MIXER - All Rights Reserved
Published by S.M