Featured Post Today
print this page

Morocco ni mwandaaji wa Michuano ya Kombe la mataifa Afrika 2015 Serikali ya ufalme wa Morocco itakutana na maafisa wa shirikisho la soka baran...

Read more »

Manchester City imeendeleza ubabe wake dhidi ya majirani zao Manchester United kwa kuwachapa goli 1-0 katika mchezo mkali uliofanyika katika uwanja...

Read more »

Dereva Lewis Hamilton wa timu ya Mercedes amemshinda mwenzake wa timu hiyo Nico Rosberg katika mashindano ya langa langa ya US Grand prix. Daniel ...

Read more »

Rais Petro Poroshenko wa Ukraine amesema kuwa hatambui uchaguzi unaoendelea katika baadhi ya maeneo ya Mashariki mwa nchi hiyo na kwamba kwa hatua ...

Read more »

"Sitamwaacha binti yangu ateseke kama mimi ninavyoteseka nikiwa katika siku zangu. Familia yangu inafanya nijihisi najisi. "Siruhusiwi kwenda jiko...

Read more »

Miaka 13 baada ya majengo ya awali ya Kituo cha Biashara cha Kimataifa, WTO kuharibiwa katika shambulio la kigaidi la Septemba 11, 2001, kituo hich...

Read more »

Katika mazingira ya kutatanisha, siku ya Jumapili vurugu zimekatisha mdahalo uliokuwa ukiendelea kujadili mchakato wa katiba mpya ya Tanzania huk...

Read more »
Latest Post
Kombe la mataifa Afrika kitendawili

Kombe la mataifa Afrika kitendawili

Morocco ni mwandaaji wa Michuano ya Kombe la mataifa Afrika 2015 Serikali ya ufalme wa Morocco itakutana na maafisa wa shirikisho la soka barani Afrika,CAF kwa ajili ya kufanya uamuzi kuhusu kuahirisha fainali za kombe la mataifa ya Afrika au la kwa sababu ya mlipuko wa ugonjwa wa ebola katik
ManCity yaichapa Manchester United 1-0

ManCity yaichapa Manchester United 1-0

Manchester City imeendeleza ubabe wake dhidi ya majirani zao Manchester United kwa kuwachapa goli 1-0 katika mchezo mkali uliofanyika katika uwanja wa Etihad, Jumapili. Sergio Aguero aliipatia timu yake goli hilo katika dakika ya 63 ya mchezo. Goli hilo la kumi kwa Aguero katika msimu huu wa li
Hamilton amshinda Rosberg,Langa Langa

Hamilton amshinda Rosberg,Langa Langa

Dereva Lewis Hamilton wa timu ya Mercedes amemshinda mwenzake wa timu hiyo Nico Rosberg katika mashindano ya langa langa ya US Grand prix. Daniel Ricciardo wa timu ya Red Bull ameshika nafasi ya tatu baada ya kuendesha vizuri dhidi ya madereva wa timu ya Williams. Kwa ushindi huo Hamilton sasa a
Rais Poroshenko apinga uchaguzi

Rais Poroshenko apinga uchaguzi

Rais Petro Poroshenko wa Ukraine amesema kuwa hatambui uchaguzi unaoendelea katika baadhi ya maeneo ya Mashariki mwa nchi hiyo na kwamba kwa hatua hiyo wanarudisha nyuma jitihada za kuleta amani nchini humo. Katika hotuba yake iliyoonyehswa kwenye Runinga pia Poroshenko amesema kuwa serikali yak
Hedhi yawa fedheha kwa wanawake India

Hedhi yawa fedheha kwa wanawake India

"Sitamwaacha binti yangu ateseke kama mimi ninavyoteseka nikiwa katika siku zangu. Familia yangu inafanya nijihisi najisi. "Siruhusiwi kwenda jikoni, Siwezi kuingia hekaluni, Siwezi kukaa na wengine." Kuna hisia ya dhamira katika sauti ya Manju Baluni mwenye umri wa miaka 32. Nilikutana naye ka
WTC yafunguliwa rasmi jijini New York

WTC yafunguliwa rasmi jijini New York

Miaka 13 baada ya majengo ya awali ya Kituo cha Biashara cha Kimataifa, WTO kuharibiwa katika shambulio la kigaidi la Septemba 11, 2001, kituo hicho kilichopo jijini New York kimefunguliwa kwa shughuli za biashara. Waajiriwa katika kampuni kubwa ya uchapishaji ya Conde Nast wameanza kuingia kati
Warioba adhalilishwa mdahalo wa Katiba

Warioba adhalilishwa mdahalo wa Katiba

Katika mazingira ya kutatanisha, siku ya Jumapili vurugu zimekatisha mdahalo uliokuwa ukiendelea kujadili mchakato wa katiba mpya ya Tanzania huku baadhi ya watu wakipigwa na kujeruhiwa. Mdahalo huo uliokuwa ukitangazwa moja kwa moja kupitia redio na televisheni ulivurugika kutokana na kundi l
What Causes Saggy Breasts?

What Causes Saggy Breasts?

What Causes Saggy Breasts? Number of Pregnancies: The more children you have, the more stretched your breasts will become. Breast Size and Shape: Smaller breasts with a rounder bottom tend to hold their shape better than larger or narrow breasts. Weight Gain: Additional weight may lead to l
MAKOSA 10 HATARISHI YA MATUTIMIZI YA KONDOMU

MAKOSA 10 HATARISHI YA MATUTIMIZI YA KONDOMU

Makosa 10 Hatarishi ya Matumizi mabaya ya Kondom Usiyoyatilia mkazo 1. Kutoangalia kama imeharibika Watu wengi hutoa kondom na kuivaa pasipo kuangalia kama kuna matundu yanayo onekana kwa macho au haipo katika halia nzuri. 2. Kutokuangalia kama imeisha muda wa matumizi(expire date). Kati ya a
 Washambuliaji kanisa Kenya wasakwa

Washambuliaji kanisa Kenya wasakwa

Taharuki imetanda katika pwani ya Kenya baada ya watu watano kuuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa na watu waliojihami kwa silaha. Watu hao walifyetua risasi ndani ya kanisa moja katika eneo la Likoni. Polisi katika eneo hilo, wanasema washambuliaji waliingia kwa nguvu kanisani, na kuwafyetulia
Pages (17)1234567 Next
 
Support : | |
Copyright © 2011. JAMII MIXER - All Rights Reserved
Published by S.M